here

Thursday, August 31, 2017

Kada wa UVCCM Aliyejifanya Usalama wa Taifa Kaachiwa Huru Tena

Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, Lengai ole Sabaya ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kughushi na kutumia kitambulisho cha Usalama wa Taifa.

Hatua hiyo imekuja baada ya upande wa Jamhuri kusema kuwa haina sababu ya kuendelea na kesi hiyo
 
Hii ni mara ya nne shauri hilo linafikishwa Mahakamani lakini linaondolewa kwa sababu ya  Jamhuri kutotaka kuendelea nayo.

No comments:

Post a Comment