here

Tuesday, July 25, 2017

TANZANIA IKO WA SASA??????????

Nchi 10 Zenye Watu Wenye Uwezo Mkubwa Zaidi Wa Kufikiria Duniani

Waandishi wa utafiti huu inadhaniwa kwamba IQ inaathiriwa na pato la taifa, katika orodha hii hakuna nchi yeyote ya Afrika wala America ya kusini

10. Switzerland na Sweden: wastani 101 IQ
Uswis ni mashuhuri kwa kutengeneza saa na mabenki, fani ambazo zinahitaji kiasi kikubwa cha
utafiti na utaalamu.Wakazi wa nchi hizi asilimia kubwa wameshika elimu za juu zaidi duniani.

9. Austria: wastani 102 IQ
Austria ni nchi ndogo imepakana na German, Switzerland na Italy. Elimu kwao ni bure na ni lazima kwa watoto wa Austria

8. Germany: wastani 102 IQ
Ni nchi yenye uchumi imara zaidi Ulaya. Ujerumani ni moja ya nchi zenye kiwango kikubwa cha pato la taifa kwa mwaka duniani. Ni moja ya nchi zenye vyuo vya zamani zaidi duniani na vyenye viwango vya juu vya elimu

7. Italy: wastani 102 IQ
Ni moja ya nchi yenye utajiri mkubwa zaidi wa kihistoria duniani, wachoraji kutoka Italia
wanajulikana sana hasa kwa ubunifu wao hapa duniani

6. Netherlands: wastani 102 IQ
Miaka 12 ya elimu kwa lazima imeisaidia Uholanzi kufika nafasi za juu. Mfumo wa elimu wa Uholanzi unashika namba tisa kwa ubora hapa duniani.

5. Singapore: wastani 103 IQ
Wanafunzi kutoka Singapore ni wataalamu zaidi wa masomo ya sayansi na hisabati.

4. Taiwan: wastani 104 IQ
Swala la elimu ni muhimu sana Taiwan

3. Japan: watani 105 IQ
Nchi hii ni wataalamu sana wa maswala ya technolojia na vitu vya electronics. Chuo kikuu cha Tokyo ni chuo bora zaidi kuliko vyote barani Asia na moja kati ya vyuo 25 bora zaidi duniani.Wanafunzi wa Nchi hii pia wanafanya vizuri sana katika masomo ya sayansi na
hisabati

2. Korea Kusini: wastani 106 IQ
Korea kusini wanafurahia Internet yenye kasi zaidi duniani, ambayo inawasaidia katika utafiti na kupata habari ukilinganisha na nchi nyingine

1. Hong Kong: wastani 107 IQ
Hong Kong ipo juu zaidi katika hisabati na sayansi na ni moja ya nchi zenye utoaji wa elimu bora zai

No comments:

Post a Comment