here

Wednesday, July 26, 2017

CHEZEA PESA WEWE???

Jamani kama tuwajuavyo ndugu zetu akina Masawe,Shirima, (wachaga) kwa pesa walivyo sa siku1 mangi mmja hoi bin taaban kufikishwa hospital dk. Kashauri afanyiwe upasuaji akapelekwa thieta dk akamdunga sindano ya ganzi akaanza kumpasua wakati anaendele kwa bahati akadondosha mkasi mangi akastuka fasta huku akisema arooo dokta em nitazamie pesa yangu hapo chini! Bila jua kua ni mkasi

No comments:

Post a Comment