here

Thursday, July 27, 2017

SHERIA MPYA HII NOMA SANA

CANADA: Viongozi wawili wa dini wamepatikana na hatia ya kuoa wake zaidi ya mmoja.

- Wote walipatikana na hatia ya shtaka moja la kuwaoa wanawake wengi na kila mmoja anakabiliawa na kifungo cha miaka mitano jela

No comments:

Post a Comment